Hiyo fursa ya laki tano kwa wiki @miss chagga nadhani anahuzunika.

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu
Huyu Dada yetu anavopenda pesa hiyo fursa ya kubuni biashara na kila wiki 500k nadhani hata simu angetupa ili aendelee kula mkwanja mrefu.
 
Si ana mradi wake , ana hela huyu miss
 
Sio miss Chagga pekee, yupo mwingine, mwenye ndoto ya kuolewa na Nyamihela, dada Espy...
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Duuuh...!! nilidhani huko kwenu nako Mvua inanyesha, pengine utakuwa umelala...!!

Fursa hiyo, imekupitia kushoto...
 
Hahahaaaa!
Bahati ya mwenzio................
 
Vipi umebadili Avatar....!!
Kale katoto kalikuwa kanakuwakilisha vyema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…