Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jokes kidogo.Pamoja na hayo hana njaa kali kihivyo
unavyofikiria wewe
Bora useme hivyoJokes kidogo.
Pamoja na hayo hana njaa kali kihivyo
unavyofikiria wewe
Bila shaka ushawahi kwenda kwakePamoja na hayo hana njaa kali kihivyo
unavyofikiria wewe
alaa kumbeDada yangu nitaachaje kumfahamu!
miss chagga
Sasa nikiolewa si fursa zingine zitanipita pembeni!! Hebu subiri kwanza!!Sio miss Chagga pekee, yupo mwingine, mwenye ndoto ya kuolewa na Nyamihela, dada Espy...
Hahahaaaa![emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Duuuh...!! nilidhani huko kwenu nako Mvua inanyesha, pengine utakuwa umelala...!!
Fursa hiyo, imekupitia kushoto...
Hiyo ni ID nyingine ya miss chagaWewe umejuaje mkuu
acha utani na QUIGLEYHiyo ni ID nyingine ya miss chaga
Nahitaji kuleta baruaDada yangu nitaachaje kumfahamu!
miss chagga