LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake.
Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38
Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi ya kumalizia uzee wako
Mfano
Kukwea mlima
Ufundi wa kupaua
Udada poa
Ukonda wa dala dala
Kazi ambazo unaweza kuzeeka nazo
Mfano
Ubunge
Ulinzi wa getini
Uraisi
Ufanya biashara
Ufundi viatu
Ufundi unaohitaji akili kuliko nguvu
Je? Hiyo kazi yako utatoboa nayo uzeeni