Hiyo kitu unayopenda kufanya ukiwa peke yako ipo siku itajulikana

Hiyo kitu unayopenda kufanya ukiwa peke yako ipo siku itajulikana

Bonsipele69

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
364
Reaction score
915
Habari za muda huu wanaforums.

Ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo kama heading inavyojieleza.

Siku moja hivi nilikuwa bored sana na stress za ujobless nimetulia sina hili wala lile naperuz mtandaon nkakutana na picha ya mdada(big nyash) wacha yaje mawazo machaf nikajikuta najichukulia sheria mkononi sasa wakati naendelea na zoezi ghafla mlango ukafunguliwa alikuwa ni mwanamke nnae ishi nae, daaah nikabaki na aibu zangu na ukizingatia hakuwahi kujua kama mm ni mwanachama wa selfie aka HUMU TU.

Baada ya kukumbuka tukio hili ndo nimeamua tu niwakumbushe ndugu zanguni "UNACHOPENDA KUFANYA UKIWA MWENYEWE IPO SIKU KITAJULIKANA"

NB: Hilo ni tukio la siku nyingi kwa sasa sio mwanachama tena.
 
Back
Top Bottom