Hiyo kitu unayopenda kufanya ukiwa peke yako ipo siku itajulikana

Hiyo kitu unayopenda kufanya ukiwa peke yako ipo siku itajulikana

Hujathibitisha nyeto inakuwaje chanzo cha ushoga

Kashfa kama hizi ndo zinaleta matatizo kwenye jamii, mtu ana uraibu wa nyeto anasingiziwa shoga anaenda kudhalilishwa AKA 'kukaguliwa' na polisi. Kweli?

Acha uboya.
Umeshusha gazeti inaonyesha wewe ni mmoja kati ya wanaopenda kunyetuka😂
Boya mwenyewee! :AmberDollDance:
 
Sex is overrated
Masturbation is overrated too.

Being a gay or lesbian is not attached with masturbation.

Play safe , HIV /AIDS is there
Cheapest women is there
But all you need is to focus on the right things.


Masturbation = you can save money
Sex = you can end up being broke dumber

Finally I recommend Everybody to maintain a cleanest life style.
 
Nilikuwa naipenda sana maana inafanya huwazdharau madem namm sipendeleag ayo mambo ya kubembeleza
 
🤣🤣🤣 nipigieee nlikua bafuni
20240716_165837.jpg

Pokea simu sasa inaishia na 26 .
 
Habari za muda huu wanaforums..
Ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo kama heading inavyojieleza.....
Siku moja hivi nilikuwa bored sana na stress za ujobless nimetulia sina hili wala lile naperuz mtandaon nkakutana na picha ya mdada(big nyash) wacha yaje mawazo machaf nikajikuta najichukulia sheria mkononi sasa wakati naendelea na zoezi ghafla mlango ukafunguliwa alikuwa ni mwanamke nnae ishi nae....daaah nikabaki na aibu zangu na ukizingatia hakuwahi kujua kama mm ni mwanachama wa selfie aka HUMU TU. Baada ya kukumbuka tukio hili ndo nimeamua tu niwakumbushe ndugu zanguni "UNACHOPENDA KUFANYA UKIWA MWENYEWE IPO SIKU KITAJULIKANA"
NB: Hilo ni tukio la siku nyingi kwa sasa sio mwanachama tena.
Asee siku za mwizi ni arobaini
 
kuna muganga wa kufunga kupiga mwamunyeto. kwa wakwezi wanaoshindwa kuacha wanione
 
Back
Top Bottom