Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani
Location Niko Mwanza

1647587229893.png
 
Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani
Location Niko Mwanza

View attachment 2154977
Kwanza hii sio ramani ni picha tu umechukua huko facebook na kuiweka hapa.

Kama unataka ramani fanya haya...

1. Tafuta architect au injinia wa majengo akuchoree ramani (ingekua ni mradi mkubwa ungewahitaji wote ila kwa project ndogo kama hii unaweza chagua yeyote ila hakikisha ni architect/injinia kweli na sio mpiga dili).

2. Kwa kaproject kadogo kama hako huyo architect au injinia yeyote anaweza kukupatia na gharama za ujenzi japo kitaalam unashauriwa utafute watu wa QS.

Gharama za kukimbia wataalam ukiikwepa leo utakuja kuilipa wakati ukisha jengewa nyumba mbovu na unatakiwa kununua bati au cement kwa ajili ya repair.
 
Karibu nile_house_designs tukuhudumie,
Utapata design nzuri, makadilio ya ujenzi pamoja na ushauri unaoendana na mahitaji yako.

Waweza tembelea baadhi ya kazi zetu katika link hapo chini,

Call/WhatsApp 0715477041

Kwanza hii sio ramani ni picha tu umechukua huko facebook na kuiweka hapa.

Kama unataka ramani fanya haya...

1. Tafuta architect au injinia wa majengo akuchoree ramani (ingekua ni mradi mkubwa ungewahitaji wote ila kwa project ndogo kama hii unaweza chagua yeyote ila hakikisha ni architect/injinia kweli na sio mpiga dili).

2. Kwa kaproject kadogo kama hako huyo architect au injinia yeyote anaweza kukupatia na gharama za ujenzi japo kitaalam unashauriwa utafute watu wa QS.

Gharama za kukimbia wataalam ukiikwepa leo utakuja kuilipa wakati ukisha jengewa nyumba mbovu na unatakiwa kununua bati au cement kwa ajili ya repair.
Asante
 
Mkuu, bila kuweka vipimo vya hiyo ramani hakuna mtu atakwambia kiasi cha pesa, atakudanganya. Ramani hiyo hiyo naweza kujenga bonge la nyumba na ramani hiyo hiyo naweza kujenga kanyumba kadogo; mwishoni iko hivi, umefanya vizuri kutaja location, kwamba ni Mwanza; hiyo hiyo ramani bei ya Dar inaweza kua tofauti kabisa na Mwanza; tofari kwa Dar zitahitajika nyingi kuliko Mwanza, why, because Mwanza mnatumia Mawe kujengea msingi which is too cheap while Dar wanatumia tofari kwa kulaza kujenga msingi. Nakushauri, weka vipimo ili watu watiririke
 
Kwanza hii sio ramani ni picha tu umechukua huko facebook na kuiweka hapa.

Kama unataka ramani fanya haya...

1. Tafuta architect au injinia wa majengo akuchoree ramani (ingekua ni mradi mkubwa ungewahitaji wote ila kwa project ndogo kama hii unaweza chagua yeyote ila hakikisha ni architect/injinia kweli na sio mpiga dili).

2. Kwa kaproject kadogo kama hako huyo architect au injinia yeyote anaweza kukupatia na gharama za ujenzi japo kitaalam unashauriwa utafute watu wa QS.

Gharama za kukimbia wataalam ukiikwepa leo utakuja kuilipa wakati ukisha jengewa nyumba mbovu na unatakiwa kununua bati au cement kwa ajili ya repair.
Hao unaowaita engineer nao hufanya vivyo hivyo kwa kuchora floor plan kisha sections halafu anakuwekea 3D pictures na laki tano hadi milioni inakuwa imekutoka. Mimi namshauri, kama amependa design hiyo atafute mtu amuwekee vipimo (scale) na aanze ujenzi. Roof plan na finishing vitaamuliwa baada ya boma kukamilika. Huu ndiyo ujenzi wetu wa watu wa hali ya chini, kati na hata wanaojiona hali ya juu.

Kumtafuta architect na mhandisi majengo ni gharama sana. Mfano house plan inayochukua square meter 150 (built area) inaweza kukugharimu siyo chini ya Tshs 100,000,000/= kuanzia ubunifu wa mchoro hadi myumba kukamilika. Wananchi wa ngapi Tanzania hii wanamudu hiyo🤷🏾‍♂️
 
Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani
Location Niko Mwanza

View attachment 2154977
Kitaalamu hiyo ramani haijakamilika.
wasiliana na Smart Ujenzi.
Maana hata makadirio huwezi kufanya maana Haina vipimo na baadhi ya michoro hamna.

Mawasiliano.
Smart Ujebzi
Simu na Whatsapp.
0762-704-031
0654-704-031

1: Utaandaliwa ramani ya nyumba yako au jengo lako tokana na kipato chako na kiwanja chako.
2:Utaandaliwa tatmnini nzima ya ujenzi.
 
Hao unaowaita engineer nao hufanya vivyo hivyo kwa kuchora floor plan kisha sections halafu anakuwekea 3D pictures na laki tano hadi milioni inakuwa imekutoka. Mimi namshauri, kama amependa design hiyo atafute mtu amuwekee vipimo (scale) na aanze ujenzi. Roof plan na finishing vitaamuliwa baada ya boma kukamilika. Huu ndiyo ujenzi wetu wa watu wa hali ya chini, kati na hata wanaojiona hali ya juu.

Kumtafuta architect na mhandisi majengo ni gharama sana. Mfano house plan inayochukua square meter 150 (built area) inaweza kukugharimu siyo chini ya Tshs 100,000,000/= kuanzia ubunifu wa mchoro hadi myumba kukamilika. Wananchi wa ngapi Tanzania hii wanamudu hiyo🤷🏾‍♂️
acha kupoteza watu. na unatisha watu. Wasiliana nasi 0762-704-031/0654-704-031.
 
Hao unaowaita engineer nao hufanya vivyo hivyo kwa kuchora floor plan kisha sections halafu anakuwekea 3D pictures na laki tano hadi milioni inakuwa imekutoka. Mimi namshauri, kama amependa design hiyo atafute mtu amuwekee vipimo (scale) na aanze ujenzi. Roof plan na finishing vitaamuliwa baada ya boma kukamilika. Huu ndiyo ujenzi wetu wa watu wa hali ya chini, kati na hata wanaojiona hali ya juu.

Kumtafuta architect na mhandisi majengo ni gharama sana. Mfano house plan inayochukua square meter 150 (built area) inaweza kukugharimu siyo chini ya Tshs 100,000,000/= kuanzia ubunifu wa mchoro hadi myumba kukamilika. Wananchi wa ngapi Tanzania hii wanamudu hiyo🤷🏾‍♂️
Ulitaka iwe elfu sita?
Unavyoviongea kama ni vitu rahisi kweli yaani.
Tuheshimu taaluma za watu.
 
Kwanza hii sio ramani ni picha tu umechukua huko facebook na kuiweka hapa.

Kama unataka ramani fanya haya...

1. Tafuta architect au injinia wa majengo akuchoree ramani (ingekua ni mradi mkubwa ungewahitaji wote ila kwa project ndogo kama hii unaweza chagua yeyote ila hakikisha ni architect/injinia kweli na sio mpiga dili).

2. Kwa kaproject kadogo kama hako huyo architect au injinia yeyote anaweza kukupatia na gharama za ujenzi japo kitaalam unashauriwa utafute watu wa QS.

Gharama za kukimbia wataalam ukiikwepa leo utakuja kuilipa wakati ukisha jengewa nyumba mbovu na unatakiwa kununua bati au cement kwa ajili ya repair.

Wataalamu tupo lakini hawataki kututumia wakishaharibiwa wanaomba msaada natunawapatia
 
Back
Top Bottom