Hiyo ramani inaweza gharimu jumla kuu Bei gani

Hao unaowaita engineer nao hufanya vivyo hivyo kwa kuchora floor plan kisha sections halafu anakuwekea 3D pictures na laki tano hadi milioni inakuwa imekutoka. [emoji2377]

Kwa hiyo unaona laki5 au 1mil ni nyingi kwa kazi yenye thamani ya zaidi ya 50mil au 100mil?

Shortcut is a long cut! Leo utaona 1mil ni nyingi lakini kesho utakua na 1mil kwa ajili ya kuziba ufa, kuziba nyumba isivuje nk nk!
 
Hapo anakuuzia tu mchoro. Hujaangalia soil na huna structural drawings.
Wengi wananunua mchoro elfu hamsini halafu wanajenga kama majirani.
 
Back
Top Bottom