D devijoy JF-Expert Member Joined Oct 25, 2018 Posts 1,030 Reaction score 1,365 Mar 25, 2022 #21 MKANDAHARI said: 30m ni ndogo. Labda 50 Click to expand... 50 3 rooms mkuu, Ukizingatia nyumba ipo kawaida haina kona kona
MKANDAHARI said: 30m ni ndogo. Labda 50 Click to expand... 50 3 rooms mkuu, Ukizingatia nyumba ipo kawaida haina kona kona
edward93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 562 Reaction score 1,347 Mar 25, 2022 #22 devijoy said: 50 3 rooms mkuu, Ukizingatia nyumba ipo kawaida haina kona kona Click to expand... Inaweza kufika mzee na finishng zote mpka aluminium
devijoy said: 50 3 rooms mkuu, Ukizingatia nyumba ipo kawaida haina kona kona Click to expand... Inaweza kufika mzee na finishng zote mpka aluminium
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Mar 27, 2022 #23 Mbute na chai said: Hao unaowaita engineer nao hufanya vivyo hivyo kwa kuchora floor plan kisha sections halafu anakuwekea 3D pictures na laki tano hadi milioni inakuwa imekutoka. [emoji2377] Click to expand... Kwa hiyo unaona laki5 au 1mil ni nyingi kwa kazi yenye thamani ya zaidi ya 50mil au 100mil? Shortcut is a long cut! Leo utaona 1mil ni nyingi lakini kesho utakua na 1mil kwa ajili ya kuziba ufa, kuziba nyumba isivuje nk nk!
Mbute na chai said: Hao unaowaita engineer nao hufanya vivyo hivyo kwa kuchora floor plan kisha sections halafu anakuwekea 3D pictures na laki tano hadi milioni inakuwa imekutoka. [emoji2377] Click to expand... Kwa hiyo unaona laki5 au 1mil ni nyingi kwa kazi yenye thamani ya zaidi ya 50mil au 100mil? Shortcut is a long cut! Leo utaona 1mil ni nyingi lakini kesho utakua na 1mil kwa ajili ya kuziba ufa, kuziba nyumba isivuje nk nk!
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 8,967 Reaction score 8,547 Mar 27, 2022 #24 Upepo wa Pesa said: Kwa hiyo unaona laki5 au 1mil ni nyingi kwa kazi yenye thamani ya zaidi ya 50mil au 100mil? Shortcut is a long cut! Leo utaona 1mil ni nyingi lakini kesho utakua na 1mil kwa ajili ya kuziba ufa, kuziba nyumba isivuje nk nk! Click to expand... Hapo anakuuzia tu mchoro. Hujaangalia soil na huna structural drawings. Wengi wananunua mchoro elfu hamsini halafu wanajenga kama majirani.
Upepo wa Pesa said: Kwa hiyo unaona laki5 au 1mil ni nyingi kwa kazi yenye thamani ya zaidi ya 50mil au 100mil? Shortcut is a long cut! Leo utaona 1mil ni nyingi lakini kesho utakua na 1mil kwa ajili ya kuziba ufa, kuziba nyumba isivuje nk nk! Click to expand... Hapo anakuuzia tu mchoro. Hujaangalia soil na huna structural drawings. Wengi wananunua mchoro elfu hamsini halafu wanajenga kama majirani.