MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna sehemu nilisoma kwamba Mandela aliwahi kuishi Morogoro kama mkimbizi wa kisiasa akiwakimbia makaburu, alipewa hifadhi na Nyerere. Bado wengi hatuamini taarifa za kwamba Lema ambaye mara moja moja huwa namfuatilia hoja zake zilizosheheni nondo kwenye bunge la Tz, yaani yuko hapa Kenya kama mkimbizi wa kisiasa, kaitoroka nchi ya mababu zake na kuamua bora kama vipi afie ugenini, na wengine akina Nyalandu walikamatwa wakijaribu kutoroka. Kuna hizi taarifa nasoma eti wapo wengi wamekamatwa wakijaribu kutoroka nchi.
Labda nikipata fursa kwenye mishe zangu nitakwenda kumjulia hali Lema, kama inaruhusiwa.
Nadhani kuna kasoro sehemu, sitaki kuamini mumefikia huku, hiyo Bongo nimeishi na sikuona mkiwa na jeuri ya kuyafanya tunayoyasoma, mara sijui diwani kachomwa ndani ya nyumba na familia yake yote, mara wafuasi 13 wa upinzani wa sijui ACT wameuawa kinyama. Aidha kama ni kweli, inawezekana hata rais mwenyewe hajayaridhia, iwe tu kuna watu wamejijengea system yao pembeni inayofanya haya madudu na msipoungana kuyakemea kwa pamoja, yatawabamiza.
Tatizo naona vijana wengi wasioijua historia wamejitosa kwenye mitandao wamejawa na kejeli na kebehi, hawafahamu hii issue ilivyo ya hovyoo kwa nchi yenu. Japo huwa tunakua na ligi za baina ya haya mataifa yetu, ila hizi taarifa zinatuhuzunisha.
---------------
Dar es Salaam/Arusha. Longido District Commissioner Frank Mwaisumbe yesterday alleged there was a list of opposition leaders who wanted to flee the country to tainting the government’s image.
The DC did not reveal the names but said authorities had a long list of names. He was speaking to Mwananchi in an interview after former minister Lazaro Nyalandu was blocked from crossing into Kenya yesterday.
Mr Mwaisumbe confirmed that Nyalandu who is a top Chadema official and who contested the Singida North parliamentary seat in the October 28 polls, was barred from entering Kenyaat Namanga. This came only a day following former Arusha MP Godbless Lema’s escape into Kenya where he is seeking refuge.