Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Mbona mnakuwanga obsessed na mabeberu ama baba yenu Magu ndio amewafunza hivyoHata Kambona alikimbia nchi hii. Watz hatucheki na vibaraka wa wazungu hata siku moja lazima wakimbie wenyewe!
Vipi wewe ni beberu? Mabeberu yalikuwapo hata wakati wa Nyerere hayajaanza kwa Rais Magufuli dada!Mbona mnakuwanga obsessed na mabeberu ama baba yenu Magu ndio amewafunza hivyo
Kwa comment hizi za baadhi ya watz ni bora tu Jiwe aendelee kuwabana zaidi, hadi akili ziwarudie. Akiweza awaamrishe wote wavae uniform kama za shule ya msingi na machifu na maDC wawe wanatembeza kichapo daily. Maanake haingii akilini kwamba mtu aliye na akili timamu atasema kwamba jamaa anaacha mali, marafiki na jamaa zake nyuma. Kisha anaandamana na mke na watoto wake pia, hadi nchi jirani kama 'maigizo'.
Offcourse, wa upinzani ndio wanasiasa. Wale wa CCM ambao huwa unawasifia humu kila uchao ni malaika.Bro, yaani wewe utadhani ndiyo mara yako ya kwanza kusikia wanasiasa wakiongea jambo!!!
Hela hana, na kwake hamna maisha nje ya siasa. Embu fuatilia alikuwa akifanya kazi gani kabla ya ubunge. Wafuatilie na wenzake kazi walizokuwa wakifanya.
Hapa naona 2025 Kenya itakuwa na GDP ya $140 billion na Tanzania bado haitakuwa imefika $70 billion.
US congress mulling sanctions against Tanzania - Trendsnafrica
Β· There is a growing concern among members of the US congress about the political and economic developments in Tanzania. Β· Several commercial disputes exist between US and Tanzania. Β· The four-year dispute with Symbion Power, an American power producer that develops and...trendsnafrica.com
Offcourse, wa upinzani ndio wanasiasa. Wale wa CCM ambao huwa unawasifia humu kila uchao ni malaika.
Ulitaka comments ziwejeKwa comment hizi za baadhi ya watz ni bora tu Jiwe aendelee kuwabana zaidi, hadi akili ziwarudie. Akiweza awaamrishe wote wavae uniform kama za shule ya msingi na machifu na maDC wawe wanatembeza kichapo daily. Maanake haingii akilini kwamba mtu aliye na akili timamu atasema kwamba jamaa anaacha mali, marafiki na jamaa zake nyuma. Kisha anaandamana na mke na watoto wake pia, hadi nchi jirani kama 'maigizo'.
Tatizo naona vijana wengi wasioijua historia wamejitosa kwenye mitandao wamejawa na kejeli na kebehi, hawafahamu hii issue ilivyo ya hovyoo kwa nchi yenu.