Hiyo Tarehe 29 Hali itakavyokua huko staff


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama namuona jamaa mr Ndigo anavyonilaumu baada ya kukuta nmekaa kwenye aeat yake
Yeye; Mwalimu kwan ofisini kwako hapakutoshi mpaka uje kubanana na sie general staff.
Mimi; Hiyo nayo ni ofisi au banda la kuku

Yeye; we inuka bwana nataka niandae notes hapo

Mimi (nanyanyuka kinyonge huku nmebeba kikombe cha chai na kiaz mkononi)
 
Hiyo sio staff sasa ni kilabu cha mbege[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tamu ila fupi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Kwenye kikao cha wazazi walipoanza kusema tu kwa mwaka huu mwanafunzi ilikuwa asome siku 195. Nikajua tu tunapigwa ada tatu hapa hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…