Hiyo tume iliyojaa wazee na wastaafu, wataweza vipi kuwafikia vijana na kubaini chanzo cha Mo29?

Hiyo tume iliyojaa wazee na wastaafu, wataweza vipi kuwafikia vijana na kubaini chanzo cha Mo29?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Hii tume tuliipinga ina upendeleo. Tume imejaa wazee.
MO 29 ilihusisha kundi kubwa la vijana (Gen z) wakiwa na Masai Yao Kwa serikali kama kupinga uchaguzi wa ulaghai, utekaji na mauaji, nepotism, katiba mpya n.

Hii tume ya vikongwe ni ngumu kufikia kundi la vijana

Nadhani wako ofsini wanapika ripoti ya uchunguzi.

Screenshot_20251224-093409.png
 
Tume gani wakati Rais amesema nguvu iliyotumis kufanya mauaji ya Kimbari ni sahihi kabisa....
 
Chanzo waende kwa camilius wambura muliro na mkunda wanazungukazunguka Nini?

Kazi ya kukamilika.ndani ya siku 30 watu wanapewa siku 90 ili iweje?
 
Tume ya kusafishia utawala, ina majibu tayari ya kudesa, wapeleke tu ripoti wasidhani watanzania wa leo ni walewale aliosema kikwete kwamba 70% ni bendera fuata upepo!
 
Hii tume tuliipinga ina upendeleo. Tume imejaa wazee.
MO 29 ilihusisha kundi kubwa la vijana (Gen z) wakiwa na Masai Yao Kwa serikali kama kupinga uchaguzi wa ulaghai, utekaji na mauaji, nepotism, katiba mpya n.

Hii tume ya vikongwe ni ngumu kufikia kundi la vijana

Nadhani wako ofsini wanapika ripoti ya uchunguzi.

Imeundwa kuhalalisha kuifuta chadema kama AMC na Sharpeville masacre!
 
Samia awe makini na hiyo TUme, inaenda kuwasafisha watu Fulani, na kumwangushia jumba bovu Samia pekee.🎯
 
Back
Top Bottom