The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,wewe ulitaa wasemaje ndio uone kua wamesema kweli?Utasikia
Ilikuwa drill
Mazoezi ya UTAYARI
Ndo zao buana.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,wewe ulitaa wasemaje ndio uone kua wamesema kweli?Utasikia
Ilikuwa drill
Mazoezi ya UTAYARI
Ndo zao buana.......
Maandamano yataanzia KIA?Ukute wanatishia maandamano ya CHADEMA kesho Arusha
Amin mkuu Mungu asaidieNaomba Mungu Hamas wawe wamekuja bongo kuondoa ma CCM n jwtz Yao, wapigwe wapigwe tu
Hapana yataanzia mkianiMaandamano yataanzia KIA?
😂😂Hapana yataanzia mkiani
Umewahi kusikia,kuona ama kusoma athari za vita ndg? Jiridhishe kwanza kwa kujua hizo athari Kisha urekebishe Ombi lako kwa MunguNaomba Mungu Hamas wawe wamekuja bongo kuondoa ma CCM n jwtz Yao, wapigwe wapigwe tu
Pole dogo!!lakini endelea kuombea Amani ya nchi yako.Mambo mazuri yatakuja tu.Ni frustration tu bro! CCM wametufikisha pabaya! Nipo hapa nawasikiliza vijanq waliotoka kwenye interview Dodoma, kwanza wanadai majina ya, watoto wa wakubwa, (mfano Mabeyo) walikuwa wanafanyiwa upendeleo wa wazi! Kingine unakuta nafasi zipo 20,waliokuja ni 500+
Ukiwakuta wanavyopiga story za Gaza utasema miamba ndio hii sasa kumbe Mikunguru ya kutupwa.wabongo waoga kmmk yaani vimilio vya risasi tu mnajambiana..ila mkiwa majukwaani midomo mirefu
Wameshindwa kwa Wayudi wataweza CCM? CCM ni mafia usiombe kuingia kwenye mfumo wao. Ila kuna siku watajaa kwenye kumi nane za Mwenyezi Mungu.Naomba Mungu Hamas wawe wamekuja bongo kuondoa ma CCM n jwtz Yao, wapigwe wapigwe tu