Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana assets za kitosha apartments. Anasema kwa ajili ya watoto wake. Yeye mwenyewe kaapa atajenga nyumba ya yeye kuishi. Ni kula bata.akiwekeza kwenye asset ambazo thaman haishuki basi ataendelea kuishi vyema
Kiiingg unajuwa unanichekeshaga sana.Kuna huyo na Godlove hao jamaa inabidi wafanye juu chini wasifulie.
Sasa hizo nyaya alizoshika akining'inia zikimpiga shoti? Hizi hela hizi jamani.
Hiyo ni mizuka mkaldayo wewe umeshazoea madj wa huko mambele kwenu sisi hawa ndo wa kwetuSasa hizo nyaya alizoshika akining'inia zikimpiga shoti? Hizi hela hizi jamani.
Mzaramo kazaliwa na kukulia Moshi😂huyu jamaa bhana ukiwa we ni mtu mtulivu atakubowa tu sio kwa mawenge yale sijui hata kabila gani huyuu
Ndo huyu Godlove aliyewanunulia mbwa wake gari?Kuna huyo na Godlove hao jamaa inabidi wafanye juu chini wasifulie.
Duuh haya bhanaaMzaramo kazaliwa na kukulia Moshi
Hao ni wachaga wanajua pesa,hawafulii kizembeKuna huyo na Godlove hao jamaa inabidi wafanye juu chini wasifulie.
Ndo huyu Godlove aliyewanunulia mbwa wake gari?