Hiyu DJ AllyB aombe Mungu asije kufulia

akiwekeza kwenye asset ambazo thaman haishuki basi ataendelea kuishi vyema
 
akiwekeza kwenye asset ambazo thaman haishuki basi ataendelea kuishi vyema
Ana assets za kitosha apartments. Anasema kwa ajili ya watoto wake. Yeye mwenyewe kaapa atajenga nyumba ya yeye kuishi. Ni kula bata.

Analalamika kuna mwanamke alizaa naye zamani alipokuwa ana hela alikuwa anamruhusu kumuona mtoto wake. Lakini sasa hivi anambania hadi kwanza atoe mkwanja wa maana.
 
๐Ÿ˜‚huyu jamaa bhana ukiwa we ni mtu mtulivu atakubowa tu sio kwa mawenge yale sijui hata kabila gani huyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ