Hizbollah waomba Ceasefire

No ceasefire.
Vilio vingi sana
 
Huyu Qassem muoga sana, Hezbollah wachague mtu mwingine kuwaongoza. Juzi hapa alizima simu akapoteza mawasiliano na wenzake, sasa ameibuka kutoka mafichoni na kuanza kuomba po. Hajui Netanyahu akiombwa po ndio kichwa kinavimba, anaongeza mashambulizi 😂😂😂
 
Hizbullah is strong and powerfull kwa kweli kupambana na nchi zote za nato na pamoja na mapuppet wao wa nchi ,a kiarabu si kitu kidogo mashushu majasusi wa usa na nchi za kiarabu ndani ya lebanon na bado they are still capable force na kumtuliza adui hii imeonyesha jinsi gani walivyokuwa na nguvu ila historia itaendelea kuwakumbuka viongozi vibaraka wa kiaarabu waliosupport the gaza genocide kwa miaka yote na yote .
 
Administration yote ya Hezibollah imefekwa, 99.9% ya viongozi wote wa Hezibolah wamekufa, kila anayeigusa Israel anapata hasara kubwa kuanzia Gaza, Lebanon , Iran,, mwanzoni nilikuwa simuelewi Netanyahu kulimaliza vita kumbe huko nyuma Israel ilishawi kuteka eneo la Lebanoni na kuliachia ili aman ipatikane lakini Hezibolah wametumia mwanya huo kujenga miundombinu ya vita kwenye eneo hilo na kuanza kuushambulia Israel, Jeshi la Lebanon liko upande gani? Linasaidia hezibollah au Israel au wako neutral? Israel hana chaguo na hawezi kufanya makosa tena ya kuachia eneo la Giza na na Lebanon halafu wanamshambulia, hayo maeneo atayafanyia kama eneo la golan ili wadhibiti hayo maeneo kwa nguvu.
 
God Bless Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…