Hizbollah waomba Ceasefire

Hizbollah waomba Ceasefire

Mkiacha ideology yenu ya Death to Israel mtapata amani
Wote wachague tu kuishi kwa amani ndicho wanachotaka wapalestina na walebanon na wao wawe na taifa lao ila nyie akina Neytanyahu hamtaki hilo mwenzenu Sharon general aliliona hilo ila nyie bado tu haya ngoja Russia na Iran watoe inteeligence na weapons ziendelee kuchapwa
 
Hii habari ni yakweli iko You Tube Hezbola ambao ndio walioanza mashambulizi sasa wanaomba kipigo kisimame😆
Waliomba ni US, Europe na nchi za karabu puppets wa US walikuwa wanaipiga pressure Serekali ya Lebanon ambao 3/4 ni vibaraka wa US na hao wakawa wanampiga pressure Hezbullah.

Hezbullah kajua hao US na Israel ndio anawatuma ili wale fitna Lebanon kuwa Hezbullah ndio matatizo ya Lebanon sa Hezbullah wakawa smart wakasema sisi hatuna tatizo na ceasefire walijua wakisema hivyo wataka mzizi wa fitna.

Israel na US na vibaraka vyao nchi za kiarabu ndio wakanza kutangaza Hezbullah anaomba ceasefire nipeni wapi Hezbullah kasema sisi tunataka ceasefire hamtaweza leta. Walicho sema sisi hatukatai ceasefire ambayo serekali ya Lebanon na nchi za nje wanayo itaka

Na walipo sema tuko tayari kwa hio ceasefire mlio tuambia US, Israel na hao vibaraka wao na serekali ya Lebanon haswa makundi ya kina Samiri Jaajah, Sami Gameil na Saad Al Hariri wakadhani Hezbullah kwisha wakasema Israel hataki ceasefire na US akasema sa hivi sio time ya ceasefire kumbe imekula kwao hicho kitu ndio Hezbullah alikuwa anakisubiria aonekane sio yeye aliye kataa


View: https://youtu.be/0vgiFZL2o24?si=hxzydLhnJ1qmyxIf

Haifa kiwanda cha kutengeneza silaha kumeshambuliwa leo.
 
Back
Top Bottom