Wote wachague tu kuishi kwa amani ndicho wanachotaka wapalestina na walebanon na wao wawe na taifa lao ila nyie akina Neytanyahu hamtaki hilo mwenzenu Sharon general aliliona hilo ila nyie bado tu haya ngoja Russia na Iran watoe inteeligence na weapons ziendelee kuchapwaMkiacha ideology yenu ya Death to Israel mtapata amani