Hizi ajira za sensa Mwanza zishatoka au nimechelewa?

Hizi ajira za sensa Mwanza zishatoka au nimechelewa?

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
395
Reaction score
1,085
Msaada wakuu kuhusu kichwa cha habari au mpaka uwe na connection?

Na Kama bado zipo una apply vipi?
 
Kuna binamu yangu Yuko huko mikoa ya Kusini ananambia kuwa bado hamna matangazo yoyote ya hizi Ajira kwenye Halmashauri hata 1.. Sasa hii inakuwaje au hizi mambo ni kwa baadhi ya mikoa tu..?
 
Utaratibu wake upoje sasa
Mbona nimeshuhudia Leo by saa 4 asubuhi dada mmoja Buhongwa kavaa pedo ya Jeans,ana paint kwenye ukuta( yupo kazini)..

- Ngoja nipite mitaa hiyo tena,nimpige picha,niiweke hapa mida hii kama bado yupo
 
Msaada wakuu kuhusu kichwa cha habari au mpaka uwe na connection?
Na Kama bado zipo una apply vipi?
Kuna mkoa walizitangaza kabisa na kwamba, wanatakiwa form four..
Mikoa mingine naona wanafanya kimya kimya[emoji23]wanalipwa nadhani 30,000 kwa siku,,
Kazi itadumu kwa mwezi mmoja
 
Msije kuchanganya nafasi za kukusanya anwani za makazi ambazo zinatangazwa na manispaa ama halmashauri husika na nafasi za sensa ya watu na makazi zinazotarajiwa kuanza Agost.
 
Nafikiri nafasi za sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa tofauti na hili la post code za makazi ambalo kila halmashauri inatangaza kivyake na malipo yanatofautiana.

Zoezi la sensa ya watu la mwezi Agosti ni la kitaifa na malipo hayatatofautiana kati ya mkoa mmoja na mwingine.
 
Mbona nimeshuhudia Leo by saa 4 asubuhi dada mmoja Buhongwa kavaa pedo ya Jeans,ana paint kwenye ukuta( yupo kazini)..

- Ngoja nipite mitaa hiyo tena,nimpige picha,niiweke hapa mida hii kama bado yupo
Sensa!! Umechanganya wewe
 
Kuna binamu yangu Yuko huko mikoa ya Kusini ananambia kuwa bado hamna matangazo yoyote ya hizi Ajira kwenye Halmashauri hata 1.. Sasa hii inakuwaje au hizi mambo ni kwa baadhi ya mikoa tu..?

Watu washapeana ajira we wataka nn tena[emoji23]
 
Nasikia temeke watu wapo semina kimya kimya😅😅😅
 
IMG_0753.jpg

IMG_0754.jpg

Yani tangazo unaliona leo na kesho mwsho..

Ngojaaa nichekeee [emoji23][emoji23][emoji8]
 
Back
Top Bottom