Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe.
Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya kufuatilia nimeambiwa hivi:
Ile App inaomba permission ya kuaccess contacts zako, wewe si una njaa unasema yes, inamaana kwenye info zako wana contacts zako zote za kwenye simu, ndio maana wanawatumia woote.
Sasa wakuu, hivi hii mikopo ni kweli inatusaidia au ndio inatumaliza kabisa.
Unakopa 20,000/= kwenye simu inaingia 17,500/= eti kwamba nyingine ni processing fee, hafu kwenye simu ukienda kwa wakala apo unapata 16,000/= hafu unatakiwa ulipe 27,000/=, karibia 10,000/= imeongezeka.
Nadhani ifike muda serikali na mamlaka usika waingilie hii issue.