Hizi avatar nyingine zinatutia majaribuni

avatar unaweza kuta kilichopo nyuma ya hiyo avatar utatoka nduki husein bolt atasubiri,, fb wakaka ndo wanapopata wakati mgumu mtu anaweka bonge la pix ngoja akutokee jogoo linasinyaa halisimami kabisa
 
Teh siku ya kuonana unakaa umbali wa mita 200 unaanza kufanya uhakiki wa avatar na real image kama havimatch unakula kona
Dah..asije kuwa anachezea ''pool'' tu avatar za watu 😀😀😀😀😀

haahahahahah UKAME 😀😀😀😀😀
 
Teh siku ya kuonana unakaa umbali wa mita 200 unaanza kufanya uhakiki wa avatar na real image kama havimatch unakula kona
IMG-20160125-WA0013.jpg
IMG-20160125-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom