Hizi baadhi ya game play station exclusive now zinapatikana kwa pc

Hizi baadhi ya game play station exclusive now zinapatikana kwa pc

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Sikujua ni leo baada ya kupitia kwenye steampowered ndio nimezikuta.
days gone ambayo niliitamani sana kuicheza inapatikana kwa bei punguzo kutoka usd 49 hadi kwa usd 24 tu kwasasa.
Zingine ni god of war 4 na Horizon zero dawn.

header.jpg
 
Pia sasa hivi Emulation ya Ps3 games kwa Pc ime mature unaweza cheza karibia games zote za Ps3
Days gone nimelimaliza now.. Nalirudia kwa new game+

GOW mission zake kidogo ngumu bado niko nalo mdogo mdogo.

Nina Uncharted lost legacy bana now halifungiki na halileti error yeyote.
Mwanzo lilikuwa linafunguka then game likianza tu linacrush.
 
Sijacheza Uncharted ila nilisoma mahala ni game heavy sana ku emulate, jaribu kugoogle setting zake
 
Sijacheza Uncharted ila nilisoma mahala ni game heavy sana ku emulate, jaribu kugoogle setting zake
Sijaemulate.... Ni pc version walitoa tangu mwaka jana. Waliunganjsha a thief end na lost legacy.

Zote kwa pamoja zinaitwa legacy of thiefs...
 
Back
Top Bottom