Don chul Lingula
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 363
- 276
Siku na wewe ukizipata hutasema maneno haya.Jamani nachukia sana watu wanapopata bahati za pesa Mara kwa kubeti Mara tatu mzuka mara biko wakati cc tunapigika huku kitaa kwa kupambana na hali zetu hzi pesa huwa zinakosea njia jamani au vp sielewi au ndio kila mtu na msalaba wake
SioMkuu wewe pambana tu aseeh, wengine wanasema wale ni watu wao wanawapanga sasa sijui ni kweli??
Anhaa kumbe aiseee....Sio
Watu wao.Na halali anza leooo
Halafu pm mbona dogo umefungaa?? Nini shida
Itakuwa ni kweli watu wao halafu wote wanatokea darMkuu wewe pambana tu aseeh, wengine wanasema wale ni watu wao wanawapanga sasa sijui ni kweli??
Tupe mbinu mkuu
Aisee hata mikoa mingine huwa naonaItakuwa ni kweli watu wao halafu wote wanatokea dar