Hizi bahati nasibu

Hizi bahati nasibu

Don chul Lingula

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
363
Reaction score
276
Jamani nachukia sana watu wanapopata bahati za pesa Mara kwa kubeti Mara tatu mzuka mara biko wakati cc tunapigika huku kitaa kwa kupambana na hali zetu hzi pesa huwa zinakosea njia jamani au vp sielewi au ndio kila mtu na msalaba wake
 
Siku na wewe ukizipata hutasema maneno haya.
 
Daaaa mkuu si tunapambana na hali zetu wengine wanatusua kirahisi haya maisha
 
Mkuu wewe pambana tu aseeh, wengine wanasema wale ni watu wao wanawapanga sasa sijui ni kweli??
 
Sio
Watu wao.Na halali anza leooo
Halafu pm mbona dogo umefungaa?? Nini shida
 
Back
Top Bottom