Hizi Bidhaa zina soko hapa Tanzania?

Hizi Bidhaa zina soko hapa Tanzania?

Picha ya kwanza mpka ya 4 ina utoto mwingi na ujana mchanga,wengi hawana hayo magari ya kuweka hizo. Ila kuanzia ya 5 yes ni nzuri na za daraja la watu ambao wamejenga au wanajenga hapo wateja watakuwepo.
Unaweza tengeneza kwanza group ukaanza kwa kupokea order kwa wanaokufahamu ukaagiza mzigo ukijua kuna ambazo teyari zimeshachukuliwa.
Ila usiogope anza sasa
 
kama hizo taa kuna mwanangu anataka kam nne hivi kaniambia nimuulizie bei anitumie pesaa nimtumiemm nipo daaar yeye mkoani
wewe ukileta biashara ipo sana
jiunge magroup ya FACEBOOK post bidhaa zako toa maelezo kule ndio kuna wateja wengi sana amini nakuambia kuliko hata instagram
mimi nafanya biashara ninajua
20220619_231912.jpg
 
Picha ya kwanza mpka ya 4 ina utoto mwingi na ujana mchanga,wengi hawana hayo magari ya kuweka hizo. Ila kuanzia ya 5 yes ni nzuri na za daraja la watu ambao wamejenga au wanajenga hapo wateja watakuwepo.
Unaweza tengeneza kwanza group ukaanza kwa kupokea order kwa wanaokufahamu ukaagiza mzigo ukijua kuna ambazo teyari zimeshachukuliwa.
Ila usiogope anza sasa
Mkuu, hizi taa Zina utoto gani? Au ni bidhaa gani hizo unazosema Zina utoto?
-807037440487512698.jpg
 
kama hizo taa kuna mwanangu anataka kam nne hivi kaniambia nimuulizie bei anitumie pesaa nimtumiemm nipo daaar yeye mkoani
wewe ukileta biashara ipo sana
jiunge magroup ya FACEBOOK post bidhaa zako toa maelezo kule ndio kuna wateja wengi sana amini nakuambia kuliko hata instagram
mimi nafanya biashara ninajua View attachment 2266044
So ni kwamba mkoani taa za aina hyo hakuna au zipo ila bei ndio kubwa?
 
Wadau hope wote ni wazima humu.

Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea

Kuna baadhi ya Products hapo pichani kuzipata ni utazunguka sana hili jiji na pengine usizipate kabsa, Sasa hicho ndicho kinachonipa wasiwasi, labda huwenda Kuna watu walijaribu kuingiza mzigo halafu soko likakataa

Ebu nishaurini kama soko lipo, coz kwangu kusafirisha huu mzigo ni Dakika 0 tuView attachment 2265552View attachment 2265553View attachment 2265554View attachment 2265559View attachment 2265555View attachment 2265558View attachment 2265557View attachment 2265556View attachment 2265560View attachment 2265561View attachment 2265563View attachment 2265562
Zinauzika tuwasiliane
 
Back
Top Bottom