Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kweli aisee, ndio maana nimempa link hapo juu ajisomee mwenyewe. Humu atakutana na manyang'au🤣🤣🤣Kuwa makini mkuu,, utapigwa muda si mrefu na hautakaa usahau,,
Ingia humo kuna free course www.teachyourselfcrypto.com humu JF wapotoshaji ni wengi, a lot of negativity na ujuajiBwana mdogo upo nyuma sana kwenye ulimwengu wa leo! Au upo shamba Kibaigwa unakunywa maziwa mtindi? Baada ya kuchangamsha genge naomba wajuzi mjitokeze maana hata mimi sijui lolote kuhusu hayo mambo...namshukuru ndugu yetu kujitoa mhanga ili wengine tutoe tongo tongo pia.
Hahahah! Mkuu pengine naweza nikapata wateja huko nikashindwa kulipwa kwa bitcoinWe endelea kupiga mixer za nyimbo mbalimbali, huku kwingine achana nako.
Huu ni ujuzi kamili kama ilivyo ujuzi mwingine wowote. Inakubidi utumie muda kujifunza ili ujue. Utakachopata hapa ni intro kidogo tu. Anza na huu uzi upate ABC Historia ya crypto currency na safari yake huko mbeleni kwenye sarafu ya Bitcoin na nyinginebaada ya kutusaidia ndio umezidi kutuchanganya ambao hatujuia hayo mambo....yani umechangia kana kwamba wote tunajua hivo vitu..
pointi yangu ni kutaka kujua ni ni vitu gani hivo...
Yaani assume mtu aliyefungiwa ndani miaka 30 hivi bila kupata updates zozote zinazoendelea huku nje mtaani..alafu atoke nje leo utamwelekezaje kuhusu hizo mambo..
Au unahisi tu ukimuambia nenda kafanye MINING,REMITANO SIJUI atakuwa amekuelewa??
poa ngoja nikaupitie huo uziHuu ni ujuzi kamili kama ilivyo ujuzi mwingine wowote. Inakubidi utumie muda kujifunza ili ujue. Utakachopata hapa ni intro kidogo tu. Anza na huu uzi upate ABC Historia ya crypto currency na safari yake huko mbeleni kwenye sarafu ya Bitcoin na nyingine
Ukiweza upitie na huu.poa ngoja nikaupitie huo uzi
Mining is the process that Bitcoin and several other cryptocurrencies use to generate new coins and verify new transactions.kufanya mining ndio nini
hatujaelewa bado..tueleweshe viZuri..kwa mifanoMining is the process that Bitcoin and several other cryptocurrencies use to generate new coins and verify new transactions.
Nikiona mtu kataja bitcoin hua nataman kulia maaana nliifsham 2012 ikiwa chini ya dola moja nikataka kununua za laki 2 baadae mtu akaja kuponda na mnakumbuka ilikuwa mambo ya desi yapo hot nikaambiwa utapigwa nikaacha kweli. Nlikuja kushtuka mwaka juzi bitcoin moja ni kama milioni 145 huku rafiki yangu anazo 11Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?
Naombeni muongozo
Tujue soteKiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?
Naombeni muongozo
Anza na hizi link:pointi yangu ni kutaka kujua ni ni vitu gani hivo...
Yaani assume mtu aliyefungiwa ndani miaka 30 hivi bila kupata