TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Tangu uchaguzi wa chama Yericko ndio mwanachama pekee aliyekuwa anaelekeza mashambulizi makali kwa Lisu na alionekana kumtetea FAM kwa gharama kubwa sana,ilifika sehemu alisema FAM ni ALPHA na OMEGA.
Alihakikishia umma kwamba FAM atashinda kwa asilimia 90 tena alikuwa natunisha mishipa kweli,siku,wiki,mwez,uchaguzi huu hapa,wakatandikwa vibaya sanaaaa,wakpoteza pambano,hii ikawafanya vijana wa FAM wapooze,Yericko aliingia mitini kwa takribani wiki ndio akaibuka.
Baada ya hapo alianza kuonekana ni mkari na mwenye chuki mbaya sana akiashiria kwamba wameumizwa sana,ilifika sehemu alimuita Lisu msenge kwa kusema "Huyu msenge aliniumiza sana",sasa alimuumiza nini wakati sanduku la kura ndo liliamua?.
Leo ameandika maneno makali sana akitaka Lissu anyongwe ndio waanz kujadili mengine kwa madai kwamba wao wana uchungu wa wale watu 518 waliofariki oktoba 29,kwa madai kwamba wao wana uchungu zaidi.
Huyu jamaa hii chuki si ya kawaida inaonesha wazi waliahidiwa mambo makubwa sana na upande wa pili endapo wangeshinda,kitndo cha kushindwa ni kama walifuruga mipango yote kitu lichokatisha kile alikuwa anakiota.
Vyama vya siasa vinaandaa matapeli na madalali wa kisiasa kama huyu kibaka,anafikiri kunyonga mtu ni rahisi hivyo.
Hivi mambo yakigeuka huyu ataficha wapi sura yake?