K Kitumburee Senior Member Joined Jan 31, 2012 Posts 142 Reaction score 88 Feb 20, 2018 #1 msaada tutani. kwa anaefahamu, hizi code ni za mitamndao ya hapa nchini? 0622 na 0789 kama ni za kitanzania, ni mitandao gani hii? sijaandika namba yote ya simu kwa sababu za kiusalama
msaada tutani. kwa anaefahamu, hizi code ni za mitamndao ya hapa nchini? 0622 na 0789 kama ni za kitanzania, ni mitandao gani hii? sijaandika namba yote ya simu kwa sababu za kiusalama
mwanajamii mpya JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 554 Reaction score 445 Feb 20, 2018 #2 062 halotel, 078 airtel
K Kitumburee Senior Member Joined Jan 31, 2012 Posts 142 Reaction score 88 Feb 20, 2018 Thread starter #3 mwanajamii mpya said: 062 halotel, 078 airtel Click to expand... asante mkuu. hiyo 0789 nimejaribu kuicheki airtel money haijaja na jina ndio maana nikapata wasiwasi
mwanajamii mpya said: 062 halotel, 078 airtel Click to expand... asante mkuu. hiyo 0789 nimejaribu kuicheki airtel money haijaja na jina ndio maana nikapata wasiwasi
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Feb 21, 2018 #4 Kitumburee said: asante mkuu. hiyo 0789 nimejaribu kuicheki airtel money haijaja na jina ndio maana nikapata wasiwasi Click to expand... Mkuu wasiwasi wa nini kiongozi
Kitumburee said: asante mkuu. hiyo 0789 nimejaribu kuicheki airtel money haijaja na jina ndio maana nikapata wasiwasi Click to expand... Mkuu wasiwasi wa nini kiongozi