Hizi combination ni nzuri sana

we dada una nn lakin😂😂😂
 
Ugali wa mhogo na mchuzi wa papa ulokolea nazi na bamia na nyanya chungu
Ugali dagaa (Uono), tembele /mlenda
Finally ndizi choma (mzuzu) + kuku choma + pepsi baridi
 
Ugali wa mhogo na mchuzi wa papa ulokolea nazi na bamia na nyanya chungu
Ugali dagaa (Uono), tembele /mlenda
Finally ndizi choma (mzuzu) + kuku choma + pepsi baridi
Ugali wa mhogo na kikubwa kienyeji aliyepikwa mchuzi chuku chuku wa mbilimbi na ngogwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…