Kinacho matter ni skill uliyoipata kwenye hizo course sawa mzee wa coursera, skill share na udemy.Naombeni mnisaidie kuhusu hizi course za mitandaoni unavojifunza labda ujizi fulani zile certificate wanazotoa ni sahihi unaweza kwenda kuombea kazi au inakuwa danganya toto tu.
Msaada wenu wadau.