Hizi course za bure mtandaoni unaweza kutumia kuombea kazi?

dhum

Member
Joined
Sep 29, 2024
Posts
60
Reaction score
45
Naombeni mnisaidie kuhusu hizi course za mitandaoni unavojifunza labda ujizi fulani zile certificate wanazotoa ni sahihi unaweza kwenda kuombea kazi au inakuwa danganya toto tu.

Msaada wenu wadau.
 
Naombeni mnisaidie kuhusu hizi course za mitandaoni unavojifunza labda ujizi fulani zile certificate wanazotoa ni sahihi unaweza kwenda kuombea kazi au inakuwa danganya toto tu.

Msaada wenu wadau.
Kinacho matter ni skill uliyoipata kwenye hizo course sawa mzee wa coursera, skill share na udemy.
 
asante mkuu kwa muongozo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…