Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
- Thread starter
-
- #21
Weight yangu ni 59Weight yako ikoje?
Asante kwa ushaur mkuu niatafanya hivyoMiaka mitatu really? Nenda muone physician ndugu
Lakini hiyo haiwezi kuwa diabetes kama mdau mmoja alivyodai hapo juu
Nenda muone physician nasisitiza kamuone physicia sio general practitioner
Siwez sema kwa kuwa mm niliyeuliza sijui loloteVipi unywaji na ukojoaji ukoje?
Hapo mdau anauliza rate yako ya kukojoa ipoje?Siwez sema kwa kuwa mm niliyeuliza sijui lolote
UtapiamloNaomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi..
-kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito
-kuwa na hasira
-kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa
Nilikuwa napenda kufahamu ni ugonjwa gani huo!!!???
na je kama anakojoa sana usiku maana mi kuna mda inanitoke sanaHapo mdau anauliza rate yako ya kukojoa ipoje?
Unakojoa sana? Na kama unakojoa sana muda gani usikua au mchana
Una umri gani kwa sasana je kama anakojoa sana usiku maana mi kuna mda inanitoke sana
nenda hospitali, watalam watakukagua watajua, unaweza kuwa na homa ya matumbo/typhoid, amoeba,uti, malaria na minyoo ni muhimu ukapate vipimoNaomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi..
-kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito
-kuwa na hasira
-kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa
Nilikuwa napenda kufahamu ni ugonjwa gani huo!!!???
inaweza kuwa ni sawa coz mim mwenyew ndivyo ilivyovidonda vya tumbo
nina miaka 27 mapaka sasa kiu ya maji hainisumbui ninaweza nisisike kiu siku nzima. ila sasa nikiamka asubuhi nikinywa chai tu yenye sukari lazima nika lale baada ya dakika 5 iwe isiweUna umri gani kwa sasa
Kama unakojoa sana usiku na unapata kiu ya maji sasa hiyo ni dalili ya sukari
Fuata ushauri wangu wa juu hapo