Hizi dalili zinaweza kuwa za ugonjwa upi?

Hizi dalili zinaweza kuwa za ugonjwa upi?

Miaka mitatu really? Nenda muone physician ndugu

Lakini hiyo haiwezi kuwa diabetes kama mdau mmoja alivyodai hapo juu

Nenda muone physician nasisitiza kamuone physicia sio general practitioner
Asante kwa ushaur mkuu niatafanya hivyo
 
mwenyewe ni kuchoka na kusinzia iwe isiwe lazima mchana nilalae na na hata nikiamka asubuhi lazima nirudi nilale tena kidogo sina hasira sana ila nina wasi wasi usio kuwa na sababu
 
Naomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi..

-kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito
-kuwa na hasira
-kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa

Nilikuwa napenda kufahamu ni ugonjwa gani huo!!!???
Utapiamlo
 
na je kama anakojoa sana usiku maana mi kuna mda inanitoke sana
Una umri gani kwa sasa

Kama unakojoa sana usiku na unapata kiu ya maji sasa hiyo ni dalili ya sukari

Fuata ushauri wangu wa juu hapo
 
Naomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi..

-kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito
-kuwa na hasira
-kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa

Nilikuwa napenda kufahamu ni ugonjwa gani huo!!!???
nenda hospitali, watalam watakukagua watajua, unaweza kuwa na homa ya matumbo/typhoid, amoeba,uti, malaria na minyoo ni muhimu ukapate vipimo
 
Una umri gani kwa sasa

Kama unakojoa sana usiku na unapata kiu ya maji sasa hiyo ni dalili ya sukari

Fuata ushauri wangu wa juu hapo
nina miaka 27 mapaka sasa kiu ya maji hainisumbui ninaweza nisisike kiu siku nzima. ila sasa nikiamka asubuhi nikinywa chai tu yenye sukari lazima nika lale baada ya dakika 5 iwe isiwe
 
Hiyo ni habari njema kwa mume wako mkuu....
Soon utaanza kuchagua chakula na kutematema mate....
 
Back
Top Bottom