Hizi dalili zinaweza kuwa za ugonjwa upi?

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Naomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi..

-kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito
-kuwa na hasira
-kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa

Nilikuwa napenda kufahamu ni ugonjwa gani huo!!!???
 
kati ya magonjwa haya, mojawapo halikosekani kwako

1, Kisukari.
2, UTI
3, Vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom