Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
???????????NB: ni tamu kama pipi, znatafunwa
Asante kwa mrejesho,maake nimekuta kwenye korido kuna kishimo panya kachimbaHzo znaitwa magnesium
Znatibu tumbo la gesi,
Nimezipata ndani kwenye kishimo cha panya ht ukizitazama zimeliwa liwaUmezipata wapi?
Nenda nayo pharmacy, mfamasia atakupa msaada.Nimezipata ndani kwenye kishimo cha panya ht ukizitazama zimeliwa liwa
Wakuu katika pitapita zangu nimeona dawa kubwa ina herufi G nimeshindwa kujua ina tibu ugonjwa gani?View attachment 1089629
Hzo znaitwa magnesium
Znatibu tumbo la gesi,
Kusachi sachi mikoba yao ni kujipa presha bure kiongozi,Ila usiogope sio zenyewe hizo chief.Wakuu katika pitapita zangu nimeona dawa kubwa ina herufi G nimeshindwa kujua ina tibu ugonjwa gani?View attachment 1089629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusachi sachi mikoba yao ni kujipa presha bure kiongozi,Ila usiogope sio zenyewe hizo chief.
Panya mnaishi nao ndani?Asante kwa mrejesho,maake nimekuta kwenye korido kuna kishimo panya kachimba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]limemtoka tuPanya mnaishi nao ndani?
Hiyo ni magnesium kidonge kinachi saidia kuonfoabgesi tumboniWakuu katika pitapita zangu nimeona dawa kubwa ina herufi G nimeshindwa kujua ina tibu ugonjwa gani?View attachment 1089629
Magnesium unamumusa MkuuNB: ni tamu kama pipi, znatafunwa
Akiendlea atakutana na za kweli😂😂😂.Kusachi sachi mikoba yao ni kujipa presha bure kiongozi,Ila usiogope sio zenyewe hizo chief.
Mkuu cheetah255 umenichekesha sana kwamba nikiendelea.......Akiendlea atakutana na za kweli😂😂😂.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]limemtoka tu
Mbona kawaida panya kujipenyeza kwenye makazi ya watu kiongozPanya mnaishi nao ndani?