Hizi dini zimegeuka biashara ..Nilisikia redion andika nakataa...Tuma msg nkatuma kilichofwata yajayo yanafurahisha sanaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
ACHA KABISA
Hakuna bussiness isio na usumbufu kama hiii aiseeee

ni usiku wa jana niliamua kukesha na maombi redion nikasikia mahubiri kadhaa baada ya hapo mtumishi akasema andika msg nakata........nkaandika nkatuma

asbh nkakutana na msg Bw .......njoo...panda basi fika,,......uliza kwa.......kumbuka kuja na sadaka ya uvumilivu kuombea matatizo ya ndugu yako ukumbuke kuja napicha yake tafadhali....
..nikauliza sadaka sh ngapi..ikapigwa simu 50k
kirahisi kabisa

dah aisee nimewaza wangapi wanakufa na magonjwa ama shida zao wasipokuwa na fedha kibaya zaidi nilitaka mdogo wangu mmoja akaombewe..nahisi msongo wa ,mawazo unamtesa.......
Mungu atunusuru kwa hili

tumepewa bure tutoe bure
 
Ngoja ni jisomee biblia vizuri na mimi niwavune kondooo .
mkuu nikumbuke kwenye uhazina aisee mn mwaminifu sana tukienda sawa
mi nilijua ukiandika shida zako na majina unaombewa kumbe kuna mengineyo sijui njoo ofisini saa moja asbh wengine 12 asbh aisee ....allah aturesque
 
tutafute hela za kulipa redion mkuu kule kuna pesa sana ukujitangaza ...we utakuwa appostle m ntakuwa son of appostle min
kwiiikwiiikwiiii
Kabisa mkuu , wajinga ni wengi sana , hawata pata ishara isipokua ishara ya Yona.
 
Juzi kati nipo zangu nime chill nikaskia gali lamatangazo linapita nakipaza sauti et kuna shee atakuwa uwanjani anaombea watu wamatatizo yote skushangaa kivile ila kilichonishtua nikaskia kila mtu aende na maji kwenye chupa yani nilijiuliza inamaana namashehe wamefikia uku!!
 
ACHA KABISA
Hakuna bussiness isio na usumbufu kama hiii aiseeee

ni usiku wa jana niliamua kukesha na maombi redion nikasikia mahubiri kadhaa baada ya hapo mtumishi akasema andika msg nakata........nkaandika nkatuma

asbh nkakutana na msg Bw .......njoo...panda basi fika,,......uliza kwa.......kumbuka kuja na sadaka ya uvumilivu kuombea matatizo ya ndugu yako ukumbuke kuja napicha yake tafadhali....
..nikauliza sadaka sh ngapi..ikapigwa simu 50k
kirahisi kabisa

dah aisee nimewaza wangapi wanakufa na magonjwa ama shida zao wasipokuwa na fedha kibaya zaidi nilitaka mdogo wangu mmoja akaombewe..nahisi msongo wa ,mawazo unamtesa.......
Mungu atunusuru kwa hili

tumepewa bure tutoe bure
Sio wote mkuu
 
Aisee ila Yesu Kristo yupo na anaokoa.
Haijalishi kuna wapigaji wangapi, ila wa kweli wapo. Njoo nikuunganishie na mtu mmoja wa Mungu sema yule Kila dhehebu unaenda unabaki na dhehebu lako.
 
Sina maneno mengi.
Screenshot_20231110-070201.jpg
 
Back
Top Bottom