adeyemi
New Member
- Jan 14, 2024
- 1
- 1
Wa sasa hivi ambao sio vilaza impact yao ya moja kwa moja ipo wapi?Hapana sio kweli kilichowafanya wale waonekane smart ni kwasababu walikuwa hawasoti mtaani kama wa Sasa ila ukiangalia Kwa umakini wale walikuwa vilaza zaidi