adeyemi New Member Joined Jan 14, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Mar 2, 2025 #41 much know said: Hapana sio kweli kilichowafanya wale waonekane smart ni kwasababu walikuwa hawasoti mtaani kama wa Sasa ila ukiangalia Kwa umakini wale walikuwa vilaza zaidi Click to expand... Wa sasa hivi ambao sio vilaza impact yao ya moja kwa moja ipo wapi?
much know said: Hapana sio kweli kilichowafanya wale waonekane smart ni kwasababu walikuwa hawasoti mtaani kama wa Sasa ila ukiangalia Kwa umakini wale walikuwa vilaza zaidi Click to expand... Wa sasa hivi ambao sio vilaza impact yao ya moja kwa moja ipo wapi?
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Mar 3, 2025 #42 adeyemi said: Wa sasa hivi ambao sio vilaza impact yao ya moja kwa moja ipo wapi? Click to expand... Impact Yao utaiona wapi wakati viongozi wao ndo wazee wa zamani na wanawarithisha ukilaza, uchawi na fitina makazini?
adeyemi said: Wa sasa hivi ambao sio vilaza impact yao ya moja kwa moja ipo wapi? Click to expand... Impact Yao utaiona wapi wakati viongozi wao ndo wazee wa zamani na wanawarithisha ukilaza, uchawi na fitina makazini?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Mar 3, 2025 #43 Nyafula said: Umeandika kwa hasira Sana sijui sababu ni nini Click to expand... Wivuuuuu..!!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Mar 3, 2025 #44 much know said: Impact Yao utaiona wapi wakati viongozi wao ndo wazee wa zamani na wanawarithisha ukilaza, uchawi na fitina makazini? Click to expand... Hii haina athali kwa hao wengine??
much know said: Impact Yao utaiona wapi wakati viongozi wao ndo wazee wa zamani na wanawarithisha ukilaza, uchawi na fitina makazini? Click to expand... Hii haina athali kwa hao wengine??
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Mar 3, 2025 #45 Ngalikihinja said: Hii haina athali kwa hao wengine?? Click to expand... Sasa kama mkurugenzi wako ni kilaza ukitaka kufanya kitu Bora anaona unataka nafasi yake utafanya Nini?
Ngalikihinja said: Hii haina athali kwa hao wengine?? Click to expand... Sasa kama mkurugenzi wako ni kilaza ukitaka kufanya kitu Bora anaona unataka nafasi yake utafanya Nini?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Mar 3, 2025 #46 much know said: Sasa kama mkurugenzi wako ni kilaza ukitaka kufanya kitu Bora anaona unataka nafasi yake utafanya Nini? Click to expand... Sawa, hii condition si ipo kwa wote? Au huyo mkurugenzi anachagua?
much know said: Sasa kama mkurugenzi wako ni kilaza ukitaka kufanya kitu Bora anaona unataka nafasi yake utafanya Nini? Click to expand... Sawa, hii condition si ipo kwa wote? Au huyo mkurugenzi anachagua?