Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Jamaa ana usukuma mpk leo..huo m-cape wa nn humo ndani sasa jaman..ova anafanyia wazo hill cement😏...suruali ile sasa....wenzake wknd wanavaa shorts🤗
Naomba nikusaidie! Kwa mtu aliyesoma enzi za JPM hawezi vaa kabtula maana uniform zilikuwa ni kabtula hivyo ukimaliza shule unachukia kabtula hadi unaingia kaburini. Hivyo hawezi ivaa
 
Hahaha..mimi mwenyewe amenishangaza sana,anamjibu vipi raisi vile tena kwenye camera.
Ndugu yangu pale ni nyumbani, rais anayo maisha yake nnje ya urais. Pale alikuwa magufuli na familia yake na sio rais na watanzania. Magu kwako ni rais lkn kwa mama Janet yule ni mume wake, nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom