[emoji16][emoji16][emoji16]yaani nilivyoiona tu hii video,nikawaza kuna kiazi huko keshapata cha kuanzia.
Faza yuko off,avaeje sasa[emoji16]
haahahaha kavaa maraba ya elfu3 karumeYou can take a man out of sukumaland but you can not take usukuma out of him
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..mimi mwenyewe amenishangaza sana,anamjibu vipi raisi vile tena kwenye camera.Mie nimependa kuna Mtu kaambiwa Na Rais nyie mnaokula shangilieni akamwambia Na Wewe tutokeee hapo, duuh anamjibu jibu Rais wetu Bila ya adabu
Hahaha..mimi mwenyewe amenishangaza sana,anamjibu vipi raisi vile tena kwenye camera.
Binafsi pia naona yupo poa tu. Tatizo watu wamekariri ukiwa home lazma uvae kama mzungu.Mbona yupo fresh tu, tatizo wabongo mnaishi sana kwa maigizo na kukariri mambo ya Hollywood movies
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikusaidie! Kwa mtu aliyesoma enzi za JPM hawezi vaa kabtula maana uniform zilikuwa ni kabtula hivyo ukimaliza shule unachukia kabtula hadi unaingia kaburini. Hivyo hawezi ivaaJamaa ana usukuma mpk leo..huo m-cape wa nn humo ndani sasa jaman..ova anafanyia wazo hill cement😏...suruali ile sasa....wenzake wknd wanavaa shorts🤗
Ndugu yangu pale ni nyumbani, rais anayo maisha yake nnje ya urais. Pale alikuwa magufuli na familia yake na sio rais na watanzania. Magu kwako ni rais lkn kwa mama Janet yule ni mume wake, nothing elseHahaha..mimi mwenyewe amenishangaza sana,anamjibu vipi raisi vile tena kwenye camera.
Very disgusting! Hivi huyo cameraman kwa nini alimfuata hadi kule?Kosa Ni la Mwenye Camera kuto edit hicho kipande
Very disgusting! Hivi huyo cameraman kwa nini alimfuata hadi kule?