Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Write your reply...Utafikiri katoka shamba kaja mjini kutembea kwenye nyumba ya mtu mwengine ...ingelikua mkwere angetupia inavyotakiwa haswaa ...by the way Magufuli kadamshi
 
Write your reply...Utafikiri katoka shamba kaja mjini kutembea kwenye nyumba ya mtu mwengine ...ingelikua mkwere angetupia inavyotakiwa haswaa ...by the way Magufuli kadamshi
 
Nikiwambiaga watu huyu ndo RAIS asie na makuu anaposema BAJETI NA KUBANA MATUMIZI nadhani sasa hivi watu wanamuelewa...Angevaaa NIKE hapo au au Sniker za MAANA ungeona jinsi ambavyo wangesema MZEE ANATUAMBIA TUBANE MATUMIZI ILI YEYE AVAE SNIKER...sasa nadhani wamemuona Abavyo haigizi Akisema hela zipo kwenye standard gauge MELEWE na sasa mmeelewa...Msiombe muone anachokula ndo kbsaaaaa.
 
Back
Top Bottom