Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Sema ulle m curve pale sebuleni hatari sana....Ila jamani ikulu TUNAPAOGOPA bure tu mle ndani mbona hamna maajabu kbsaaa? mi nlijua patakua kama nyumbani kwa DJ KHALEED au MAYWEATHER...ila vitu ni vya kawaidaaaaaaaaaa...Tuache mbwembwe WATANZANIA tuishi maisha yetu real ku copy copy ndo kuna tufanya tuone maisha magumu na kusema vyuma vimekaza.
 
Back
Top Bottom