Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona matusi tena dada? Hujui kua mimi ni baba ako?Wewe una exposure gani mbw...a mkubwa! Kula kulala wewe!!
Nadhani mwenyewe amekusikia!!...aolewe tu kwa kweli
Asante sana kaka!tujirudie nyumban bwana huku hapatufaiNadhani mwenyewe amekusikia!!
Wenyewe wakija home wanadai kuna "Stress" zinazowasababishia ban!!Asante sana kaka!tujirudie nyumban bwana huku hapatufai
hahaha dah kule ban nje nje..!huku utoto sana😶Wenyewe wakija home wanadai kuna "Stress" zinazowasababishia ban!!
Hahahahaha... nimefurahi ulivyo act mkuu! Ila mimi si dada ila ni DUME LA MBEGU!Mbona matusi tena dada? Hujui kua mimi ni baba ako?
Wewe ulitaka fenicha za ndani ya nyumba zikae kama ndani ya basi (bus)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swahiba niko poa,nakumiss tu hapa![emoji8][emoji8][emoji8]