Hizi familia hizi zina mengi mazito.

Ishi maisha yako.

Umeshakuwa mkubwa achana na mambo ya Baba.

Anakupenda Sawa, hakupendi Sawa.

Usimfikirie mtu mwingine jifikirie zaidi wewe
 
Mkuu, ishi maisha yako. Hiyo familia ina shida, ukiitilia maanani utakosa amani na furaha maishani mwako. Ukimkosea mtu na ukamwomba msamaha wa dhati tayari wewe umejiondoa kwenye kifungo aidha muhusika awe amekubali ama kukataa msamaha wako.

Kuna mambo unaweza kuyakosa yanayotokana na uhusiano mzuri na ndugu ila kama hawana uhitaji na wewe unaachana nao, cha msingi hakikisha maisha yako yako thabiti na huwategemei kwa chochote. Iko siku mnaweza kuweka mambo sawa, kwa sasa wala usilazimishe, huwezi kuwaridhisha na utajitesa bure.
 
Nimejifunza kitu hapa aisee. Kuna kisa tena hiki ni cha rafiki yangu ni pastor ye Mzee wao alikuwa na wake wawili. Sa ye Yuko upande WA mke mkubwa na huu upande WA mke mkubwa watoto wote wamefika vyuo wengne vikuu wengne vya Kati. Kule Kwa ma mdogo wake mtoto mkubwa ndo Kwanza alikuwa Ch cha kati diploma.
Sasa mzee wao alifariki akacha duka la vifaa vya ujenzi kubwa Tu pia na nyumba kadhaa. Sasa kuna ndugu wakawa wanamshawishi ma mdogo wao kwamba mali ziuzwe wagawane na ma mdogo akawa kisha jaa upepo. Aliyepewa jukumu la kusimamia mirathi ni huyu rafiki yangu pastor basi kafatilia ikagundulika marehemu Mzee wao alikuwa na madeni mpk Benki huko takribani mil 100 jumla. Basi SKU ya kikao cha ukoo wale ndugu ndugu na ma mdogo aliyejaa upepo wakawa wamepania Mali zpigwe mgao pasupasu upande WA mke mdogo na mkubwa. Paspo kujua kuna madeni.
Ilipokuja hoja ya kugawana Mali jamaa akasimama akiwa na data kamili za madeni akasoma mbele ya Wana ukoo na akasema khs kugawana Yuko Tyr kwa Hilo Ila Kwa sharti la kugawana na madeni pia Kila upande uchukue madeni pasu Kwa pasu.
Weee wote kimyaaa wakaufyata wakamuchia jamaa afanyr ajuavyo na
 
Mku inaonyesha mze wako ana mali sasa anatumia hizo mali kama mtego wa kukunyanyasa ,Tafuta zako ukilazimisha akukubali mtaishia kugombaba zaidi ww tafuta namba zake mara moja moja mpe hi ajibu asijibu we timiza wajibu kumuheshimu kuepuka laana .
Mkuu hakuna laana ya hivi. Juhudi zote alizofanya huyu jamaa zinaonyesha mzee na familia ndo wenye shida. Apambane kujenga maisha yake tu na Mungu atambariki.
 
Hahahahhaha. Hawajamgeukia jamaa kwamba madeni mengne kayatengeneza yeye.?. Mana si tumewahi simamia mirathi ya mfanya kazi mwenzetu aisee kuna watu wana roho za ajabu sana. Mdogo wake marehem kipindi tuna fatilia zile pesa kuanzia kufatilia hati ya kifo na nyaraka zingine hakuwa akishiriki sana ila siku yakugawana mali akaja na madeni kibao kwamba marehem alikuwa akidaiwa na akataka akate gharama zote za wake wa marehem walizotumia kipindi wapo kwake wakikaa Edda hadi mafuta ya gari ambayo aliweka kwenye gari kipindi anawaleta kwenye kikao. Nilimshangaa sana yule jamaa na tulibishana sana nikasema hayo madeni alipe yeye akiwa kama ndugu wa marehem na zile pesa nikazigawa kwa usawa kwa wake wa marehem na vichenchi kidogo nikawapa ndugu wa marehem. Jamaa hanisemeshi mpaka sasa.
 
Mimi nipo kwny harakati hzo za kutemana kbs na Mzee yaani tusjuane kbs kbs. Ukizngatia akitamka mbele yangu kwamba Alisha nidelete nikikumbuka kauli hiyo yaani napandwa na hasira sana yaani najuta hata kuitwa u bin wake.
Mkuu, let it go. Sio rahisi ila usiweke hasira wala chuki moyoni. Mzee ana shida na inawezekana haelewi tu anachofanya, msamehe bure. Mungu akijaalia mtakuja kuweka mambo sawa ikishindikana basi muachie Mungu.
 
Mkuuu kwa Kifupi una laaana!
Yaaani Mzee akuzae, akulee, akusomeshe, upate kazi halafu simpo tu useme toka 2018 hujawahi kanyaga home!
Kama hutapata laaana basi wewe siyo damu ya Mzee wako upo udanganyifu.
 
Kufa kufaana. Kuna watu wana roho ngumu aisee.
 
Mkuuu kwa Kifupi una laaana!
Yaaani Mzee akuzae, akulee, akusomeshe, upate kazi halafu simpo tu useme toka 2018 hujawahi kanyaga home!
Kama hutapata laaana basi wewe siyo damu ya Mzee wako upo udanganyifu.
Ameambiwa aombe msamaha kwenye kaburi la bibi yake mzaa baba ndio mzee amsamehe..imani yake haimruhusu. Afanyeje? Lol

Tukubali sometimes hata sisi wazazi tunakuaga toxic. Mtu anaomba msamaha unampa masharti kisa wewe mzazi..hata Mungu hapendi.
 
Mku inaonyesha mze wako ana mali sasa anatumia hizo mali kama mtego wa kukunyanyasa ,Tafuta zako ukilazimisha akukubali mtaishia kugombaba zaidi ww tafuta namba zake mara moja moja mpe hi ajibu asijibu we timiza wajibu kumuheshimu kuepuka laana .
Yani utume sms hazijibiwi upige simu hazipokelewi miaka nenda rudi useme unatimiza wajibu kukwepa laana? Wabongo sisi ni waoga sijawahi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unamchukia mama yako. Hupatani na Baba yako. Shangazi zako wanakusema vibaya. Una bifu na mama yako mdogo.

Sihitaji kua mtaalamu wa sayansi ya anga za mbali kufahamu kwamba wewe ni tatizo!
Sina hakika kama kichwa chako kinafanya kaz vzuri kwa aliyesoma kile kisa Ch mama yangu sjui kama Kuna mahali nimeandka namchukia mama yangu nadhani we utakuwa chizi fresh kutokuwa na mapenz na mama Yang si kumchukia na sababu nilieleza na si mimi Tu hata mdogo wangu anayenifuata WA kike Naye Bora hata Mimi kidogo Yani yule ndo kbs na majuz tu hapa nimetoka kusuluhisha kwa njia ya kuwapgia simu wote. We chizi fresh sjui haya unayatoa wapi Kwa vle hayajakufika.
 
Okay sawa. Mimi ni chizi fresh ambae naishi vizuri na wazazi wangu pamoja na ndugu wengine. Have a nice day!
 
Upo sahihi Ila wanaume tunatabia za kijinga sana unakubali vipi kulishwa maneno yanayoweza kukukosanisha na ndugu au mwanao na jike ambalo umeliokota kuja kukifuga kwako sio hata damu yako
 
Nitarudi hapa kukupa ushauri,mimi nilifunga vioo kabisa mpaka leo,sina habari na mtu. Vinginevyo "mali ya Baba ingenitoa roho"
 
Hiki ulichokisema kwamba madogo ni mzgo wangu wewe si WA Kwanza kusema aisee.
Pili khs Mzee kuja kunitafutia pia si WA Kwanza kusema hata wale adui zangu nao huwa napata taarifa zao kwamba huwa wanasema Mzee atanitafutaga Tu.
Kwa simulizi uliyoleta kwenye uzi na nyongeza kwnye comments...

Kwanza pole sana.

Lkn pili, Kama mimi ningekuwa wewe; ningekaa mbali kabisa na hao ndugu unaosema wanakukubali sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…