Hizi fasheni ni za kuzimu?

Hizi fasheni ni za kuzimu?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kwa muda mrefu Clouds wamekuwa wakijitahidi kuambukiza mitindo inayoathiri sana kwa namna mbaya tabia hasa za vijana.

Jambo hili liliwezekana kupitia muziki ambapo ukiimba muziki wa matusi unapata nguvu sana hadi kupewa nafasi kimataifa kwa influence yao.

Sasa kwa siku hizi mbili nimekuwa nikiona wanapost mtindo fulani wa mavazi nia yao ikiwa haieleweki ni nini?
Je mtindo huu ni wa kuzimu na mnataka kuuingiza duniani?
Screenshot_20200228-091045.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejuaje kuwa kuzimu wanavaa ivo??ushafika ama??
 
kibaravumba,
Kuna nguo nazionaga kwenye maonyesho nabaki kujiuliza hivi baada ya hapa uwa zinavaliwa wapi
 
kibaravumba,
Kuna nguo nazionaga kwenye maonyesho nabaki kujiuliza hivi baada ya hapa uwa zinavaliwa wapi
Iko hivi ukiona nguo kwenye mitindo leo ukifuatilia utakuta zinavaliwa baada ya kipindi fulani. Mfano jaribu kufuatilia mitindo kwenye maonesho miaka 10 hadi 15 nyuma utakuja kuta leo ndio watu wanavaa na limekua vazi la kawaida mtaani.

Mfano leo hii nguo zinavaliwa juu ya mapaja. Ukichunguza haikuanza leo. Ndio maana fashion za ajabu kama hizi tunazipinga sababu zina lengo la kuaribu jamii yetu hata kama watu hawaonekani kuzichangamkia.

Nlishawai sikia mitindo mingi ya ovyo hubuniwa kuzimu ili kuaribu mienendo ya watu kupitia mavazi
 
Back
Top Bottom