kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kwa muda mrefu Clouds wamekuwa wakijitahidi kuambukiza mitindo inayoathiri sana kwa namna mbaya tabia hasa za vijana.
Jambo hili liliwezekana kupitia muziki ambapo ukiimba muziki wa matusi unapata nguvu sana hadi kupewa nafasi kimataifa kwa influence yao.
Sasa kwa siku hizi mbili nimekuwa nikiona wanapost mtindo fulani wa mavazi nia yao ikiwa haieleweki ni nini?
Je mtindo huu ni wa kuzimu na mnataka kuuingiza duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app