kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
kibaravumba,
Kuna nguo nazionaga kwenye maonyesho nabaki kujiuliza hivi baada ya hapa uwa zinavaliwa wapi
Iko hivi ukiona nguo kwenye mitindo leo ukifuatilia utakuta zinavaliwa baada ya kipindi fulani. Mfano jaribu kufuatilia mitindo kwenye maonesho miaka 10 hadi 15 nyuma utakuja kuta leo ndio watu wanavaa na limekua vazi la kawaida mtaani.kibaravumba,
Kuna nguo nazionaga kwenye maonyesho nabaki kujiuliza hivi baada ya hapa uwa zinavaliwa wapi