Hizi Fashion za siku hizi!!

Hizi Fashion za siku hizi!!

Umri wako umeenda ndugu.
Kama mtumia kitochi anavyoshangaa mtu mwingine kununua iphone ya mil 1.9 ndio kama wewe unavyoshangaa hapo. Kila kitu na zama zake. Wewe zama zako zishapita
Yani ww ndo hakuna.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
5d334123db9a17b504427a352f1deb71.jpg
 
Mimi kijana wangu akivaa namna hiyo nitamchezeshea mboko hata kama kasha kuwa mtu mzima.

-Ndumilakuwili-
 
Skean jeans tutavaa sana tu na wenye wivu mjinyonge na mitoko yenu ya kizamani
 
watu wa mafashoooonii... tunaelewa hii kitu so relax mkuu
 
Ukizifuatisha hizi fashion bila kutumia akili yako unaweza kujikuta unatembea uchi........
 
Back
Top Bottom