Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Yani ww ndo hakuna.Umri wako umeenda ndugu.
Kama mtumia kitochi anavyoshangaa mtu mwingine kununua iphone ya mil 1.9 ndio kama wewe unavyoshangaa hapo. Kila kitu na zama zake. Wewe zama zako zishapita
Tatzo hapo ni lipi?Hizi fashion za siku hizi unaweza sema machizi wanapelekwa milembe kupata tiba.
Iyo apo ya Yangu bishoo la Jf