Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

Mbowe ni pesa zake hizo warsha ni pesa za serikali
Zake au za babake?? Au ulidhani alizaliwa mwenyewe kwao kamba pesa zote za urithi ni zake?? Kwanini siku zote hakujenga Machame kama pesa ni zake ye mwenyewe??

Alafu kama ana pesa kwanini aliwachangisha Join the Chain??
 
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?

Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?

Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
Hizo fedha zinatolewa na warabu wa DP World
 
Zake au za babake?? Au ulidhani alizaliwa mwenyewe kwao kamba pesa zote za urithi ni zake?? Kwanini siku zote hakujenga Machame kama pesa ni zake ye mwenyewe??

Alafu kama ana pesa kwanini aliwachangisha Join the Chain??
Mjinga ni mtu yule anae hamisha mjadala wa kitaifa na kuupeleka kuwa mjadala wa kujadili maisha ya watu binafsi kwa hakika wewe ni mjinga
 
Tumeziokoa ktk manunuzi ya mchele baada ya kupata ule wa msaada kutoka kwa watu wa Marekani!
 
Pesa ninazo ndio maana nipo nalewa Mida hii,

Kuhoji siyo fikra za kimaskini ndio maana china ukiiba unanyongwa

Someni japo kidogo Duniani inaendeshwaje, fedha siyo za mtu ni za umma ndio maana tupo hapa tunawakumbusha watawala kwamba yupo mtanzania hana japo mlo mmoja

Sisi wengine hadi tunaweza kununua bando tunashukuru

Ila hawa wenzetu pesa hizi kwenye nchi maskini wanazitoa wapi?
Toa sasa njia mbadala kuwa nyie/hao wanyonge wanatokaje kwenye huo unyonge na siyo kujisifia huo unyonge
 
Back
Top Bottom